YouVersion Logo
Search Icon

Plan Info

Soma Biblia Kila Siku 03/2024Sample

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

DAY 3 OF 31

Sisi je! tutapataje kupona, tusipojali wokovu mkuu namna hii? Hili ni swali muhimu. Jibu ni kwamba hatuwezi kupona. Watu ambao hawakutii ujumbe ulioletwa kwao na malaika, walipata adhabu iliyowastahili. Dhambi ya kutokujali neno la Mungu itawaangamiza wengi. Yesu amefanya wokovu mkuu toka utawala wa Shetani na maangamizo ya milele. Mungu alithibitisha wokovu huo kwa ishara na kwa Roho wake Mtakatifu. Mwito wa kujali wokovu huu mkuu ni mwito wa zaidi ya kutii, yaani kuupokea na kuuishia.

Scripture

Day 2Day 4

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

Soma Biblia Kila Siku 03/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha ...

More

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy