YouVersion Logo
Search Icon

Plan Info

Soma Biblia Kila Siku 03/2024Sample

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

DAY 1 OF 31

Ukisoma Injili ya Yohana 1:1-3 imeandikwa kwamba Yesu Kristo ni NENO LA MUNGU. Kwa Neno huyu "Yesu" Mungu aliumba na kukamilisha yote aliyosema kwa njia ya manabii wake wote. Yesu ni mwisho wa Agano la Kale na mwanzo wa Agano Jipya. Hapa tunakutana na tangazo la ukuu wa Yesu unaopita hata ukuu wa malaika. Katika Yesu Mungu amejifunua kwa wanadamu na kufanya utakaso, yaani ondoleo la dhambi. Kwa njia ya Yesu Mungu amesema neno la mwisho kwa wanadamu ambalo ni wokovu .

Scripture

Day 2

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

Soma Biblia Kila Siku 03/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha ...

More

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy