YouVersion Logo
Search Icon

Plan Info

Soma Biblia Kila Siku 03/2024Sample

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

DAY 2 OF 31

Somo lina maneno mazito yanayoelezea jinsi ukuu wa Mwana unavyozidi ule wa malaika. Maneno yake pia ni makuu kuliko ya malaika na manabii. Ukuu na upekee wa Mwana katika Agano la Kale unaonekana katika Zab 2:7, Mungu anaposema, Ndiwe Mwanangu. Utukufu wa Mwana unaonekana kwetu katika kufufuka kwake. Unabii na hukumu ya Mungu kwa ulimwengu utatimizwa katika Mwana atakapokuja mara ya pili. Mwana hakuumbwa bali aliumba akiwa ndani ya Baba (Yn 1:1-3). Mwana niMrithiwa kiti cha enzimilele.
Day 1Day 3

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

Soma Biblia Kila Siku 03/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha ...

More

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy