YouVersion Logo
Search Icon

Plan Info

Soma Biblia Kila Siku 03/2024Sample

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

DAY 31 OF 31

Yesu alipokufa, wanafunzi wake waliishi kwa mashaka na hofu ya kuwaogopa Wayahudi. Lakini kufufuka kwa Yesu Jumapili ya Pasaka kuliwaletea tumaini la maisha mapya kimwili na kiroho. Sisi tunamhubiri Yesu kuwa amefufuka na yu hai. Kama alivyojifunua kwa wanafunzi, leo yupo kwetu kutuokoa na kutusamehe dhambi zetu. Pia kufufuka kwake kunatuhakikishia ndiye Mwana wa Mungu, na kunatupa tumaini la kufufuka siku ya mwisho. Umkaribishe Yesu aliyefufuka moyoni mwako ili ashughulike na maisha yako nawe utaona baraka zake.

Scripture

Day 30

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

Soma Biblia Kila Siku 03/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha ...

More

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy