YouVersion Logo
Search Icon

Plan Info

Soma Biblia Kila Siku 03/2024Sample

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

DAY 12 OF 31

Yesu ni Kuhani Mkuu aliyeingia patakatifu, mbinguni, kwa ajili (Ebr 1:3, Aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu ). Yeye ni Mungu kamili na mwanadamu kamili. Anajua madhaifu yetu na majaribu tunayokutana nayo, maana yeye pia alijaribiwa, ila hakutenda dhambi. Kwa hiyo ndiye Kuhani Mkuu wa kweli wa kutuwekea uhusiano mzuri na Mungu, ambaye tulimwasi kwa dhambi zetu. Tuyashike sana maungamo yetu (m.14). Tusimame imara katika imani yetu. Tukiamini kwamba neema yake yatuwezesha tunaelekea katika utukufu wa Mungu kwa ujasiri.
Day 11Day 13

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

Soma Biblia Kila Siku 03/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha ...

More

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy